Blog hii ni kwa ajili ya kufurahia TUKIO LA NDOA na sherehe ya harusi pamoja na kuandaa shughuli nyingine mbalimbali...lengo hasa kwa wanandoa watarajiwa ni namna bora ya kuifurahia na kuikumbuka siku ya ndoa.kwani tukio hili lina upekee na uzuri wake hasa kama litaenda kama ilivyopangwa na kumpendeza Mungu.
Hongera kwa mh.Jonas na bi Omega
ReplyDeleteNdoa yenu ikadumu na kuwa yenye furaha milele.
Mbarikiwe.
Hongera Mh. Lyakundi na mkeo
ReplyDeleteHongera Mh. Lyakundi na mkeo
ReplyDeleteCongratulations!!!! You both and all look so beautiful and happy...
ReplyDeleteWish you both to be always happy together and supportive to each other.